Tuesday, May 20, 2008

NEW SEASON

HII NI BLOG ILIYOJIKITA HUSUSANI KWA WATU WANAOPITIA MATATIZO MAZITO
KATIKA MAISHA NA HAWAONI JAWABU.

  • Unatumia madawa ya kulevya,yameshaanza kukudhoofisha na unahitaji kuacha lakini unashindwa?
  • Umeambukizwa ukimwi,na mara baada yakujua mipango yako yote ghafla imeyeyuka?
  • Wewe ni msichana umeteleza na kupata ujauzito,wazazi wako hawataki kukuona,shuleni umefukuzwa na jamii inayokuzunguka inakuona wewe ni muhuni/malaya na unatamani kutoa mimba au kujiua?
  • Labda una watu wanakutegemea na umetafuta kazi umekosa?
  • Unataka kuwa na kiwango fulani cha elimu,lakini kila ukifanya mitihani unafeli?
  • Wewe ni mfanyabiasha,lakini biashara yako haikui wala faida haionekani

BLOG HII ITAKUTAFUTIA WATU WALIOPITIA HALI KAMA YAKO,NA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE WAKATOKA KATIKA HALI HIYO.usiache kutembelea blog hii